Sheikh wa TIC Mkoa wa Morogoro ashiriki kwenye Ligi ya Shia CUP

 

Ligi ya Shia Cup ambayo ilianza tarehe 11/8/2023 Na kumalizika tarehe jana 24/9/2023 ambapo timu 18 zilishiriki na jana Jumapili ndio ilikuwa fainali na kuibuka mshindi timu ya Fountain gate fc, Mashindano hayo ya Shia Cup yalismamiwa na Sheikh Amru Mohammed na kamati ya michuano hiyo ambayo hufanyika Kila mwaka na wageni katika Mashindano hayo ni Diwani kata ya Lukobe, Mwenyekiti wa Mtaa wa Manyuki, Rais wa club ya Singida big star na Sheikh wa Mkoa wa Morogoro wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Community T. I. C ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya Maridhiano mkoa wa Morogoro Sheikh Hamza Kipanga







Comments