VIONGOZI WA TIC WASHIRIKI KONGAMANO ATHARI ZA SAUTI KWENYE NYUMBA ZA IBADA

 

Waliosimama wa sita kushoto ni Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC Hemedi Jalala, na wa tatu waliosimama kulia ni Sheikh Mohamed Abdi Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC walipo shiriki katika picha ya pamoja baada ya kumalizika Kongomano la kujenga uwelewa juu ya athari za sauti zilizozidi viwango kwenye Nyumba za Ibada, lililoandaliwa na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania-JMT, ilililofanyika jana katika ukumbi wa Kimataifa Julias Nyerere, jijini Dar es Salaam.




Comments