Sheikh wa Mkoa wa Kigoma wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC Alhaji Sheikh Nasib Rajab akitoa nasaha katik hafla ya ndoa na kuwaasa wanajamii juu ya kuzingatia maadili mema ili kujenga familia iliyo bora, jana wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.
Comments
Post a Comment