HAWA NDIO VIONGOZI WA MKOA WA KIGOMA KWA WAITHNA'ASHARIYYAH

 

Viongozi wa MKOA WA KIGOMA wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC wakiwa katika moja ya Vikao vyao, kuanzia kulia ni Sheikh wa Mkoa Sheikh Nasibu Rajabu, Mwenyekiti Mkoa Ndg. Ramadhani Ndiholeye, Naibu Katibu Mkoa Ustawi wa Jamii Ndg. Hussein Gwaho. nawengineo, leo Jumatatu 22 Mei, 2023, katika Masjid Imam Jafar Swadiq, Mwandiga Kigoma.

Kwa mujibu wa Katiba ya TIC ibara ya 7(1) inasema "Kuwaunganisha Waithna'ashariyyah wote wa Tanzania, pasina kujali rangi jinsia zao, wala makabila yao...".  
Ifuatayo ni orodha ya Viongozi wa Mkoa wa Kigoma wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC

NO.

JINA KAMILI

CHEO / WADHIFA

 

1

RAMADHANI Z. NDIHOLEYE

MWENYEKITI

 

2

RAJABU S. KABAVAKO

KATIBU

 

3

NASIBU R. MWONGELA

SHEIKH

 

4

HUSSEIN A. KINGUTI

MHAZINA

 

5

AHMAD M. NONELA

NAIBU KATIBU ELIMU NA UTAMADUNI

 

6

HUSSEIN ABBAS GWAHO

NAIBU KATIBU USTAWI WA JAMII

 

7

HAJI AHMADI LUGALULA

NAIBU KATIBU UHUBIRI NA IBADA

 

8

YUNUSA Z. NDIHOLEYE

NAIBU KATIBU UCHUMI NA FEDHA

 

9

HASSAN W. ISSA

MJUME

 

10

MSAFIRI SELEMANI

MJUMBE

 

11

JUMA R. SHABANI

MJUMBE

 

12

RASHIDI I. ITEMBE

MJUMBE

 

13

YUSSUPH I. RUHINDA

MJUMBE

 

14

ATHUMANI F. LUBABA

MJUMBE

 

15

ATHUMANI K. UMANDE

MJUMBE

 

16

UWEZO O. MKANDAMA

MJUMBE

 

17

ATHUMANI M. SOGOLE

MJUMBE

 

18

HUSSEIN MOSHI ABDALLAH

MJUMBE

 

Comments