SEMINA YA MAFUNZO YA DINI KWA MUBALIGHINA NA WAUMINI


Semina ya Mafunzo mbalimbali ya dini kwa viongozi na waumini wa mikoa tofauti tofauti, wa Dini ya Kiislamu wa Madhehebu ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania, yenye lengo la kutoa elimu ya dini na mafunzo ya Dini yetu ya Kiislamu.

Semina iliyopangwa kufanyika kwa siku mbili, iliyoanza jana Tarehe 09/09/2023 na kumalizika leo Tarehe 10/09/2023 Katika ukumbi wa Noor Center Posta jijini Dar es Salaam, iliandaliwa na Taasisi ya Furqan Foundation na Falah Islamic Developemnt.






Comments