Waislamu
wa madhehebu ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania wameungana na Waislamu wengine duniani katika kuadhimisha kumbukizi Kifo cha Mtume Muhammad (s.a.w.w) kilichotokea mwezi 28
swafar siku kama ya leo, kwa kufanya Matembezi ya Amani, Dar es Salaam, yakiongozwa na Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithn'ashariyyah Tanzania Sheikh Hemed Jalala.
Comments
Post a Comment