Sheikh wa Mkoa wa Morogoro na Naibu Katibu Mkuu wa Elimu na Utamaduni wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC Sheikh Hamza Kipanga (Mwenye Kilemba) akishiriki katika Ufunguzi wa Masjid Nabawi, uliyopo kiegea Morogoro, mnamo tarehe 08/07/2023 Msikiti upo chini ya Usimamizi wa Sheikh Amru Muhammed Salim.
Comments
Post a Comment