Naibu Katibu Mkuu Elimu na Utamaduni na Sheikh wa Mkoa wa Morogoro wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC Sheikh Hamza Kipanga akiongozana pamoja na Katibu wa Mkoa wa Morogoro wa Jumuiya hiyo Mhe. Baqir khatibu Ngoma (waliosimama) wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Makamo wa Raisi Muungano na Mazingira Mhe. Khamisi Hamza Chilo pamoja na Uongozi wa Taasisi ya My Birthday Tree, wiki iliyopita, Mkoani Morogoro.
Comments
Post a Comment