TANZIA- MSIBA WA DKT. MOHAMED SWALEHE KANJU.
Jumuiya ya Shia Ithnaashariyyah Tanzania (T.I.C) imepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti Msataafu wa bodi ya wadhamini (T.I.C) Dokta Mohammed Swaleh kanju. Kilichotokea leo 17/6/2023 katika Hospitali ya Mloganzira Dar-es-salaam.
Mwili wa Marehemu utatolewa Mloganzira kesho asubuhi na kupelekwa masjidil-ghadiir kigogo kwa ajili ya Kuandaliwa.
Baada ya Swala ya Adhuhuraini visomo vya khitma, kalima pamoja na Majlisi vitaendelea mpaka saa 11 jioni ambapo Mwili utasafirishwa kuelekea Mkumbara lushota Tanga kwa ajili ya Maziko siku ya jumatatu Tarehe 19/6/2023 saaa tano asubuh.

Marhum Dkt. Kanju akiongoza Kikao cha Bodi ya Wadhamini (wakwanza kulia) akiwa kama Mwenyekiti wa Bodi kipindi cha Uhai wake. Tunamuomba Mwenyezi Mungu apunzishe roho ya Marhum pamoja na Ahlulbayt(a.s).
Comments
Post a Comment