Sheikh wa Mkoa wa Kigoma wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC Alhaj Nasibu Rajab (wapili kulia) akishiriki kwenye semina ya viongozi wa dini kuhusu ukatili na hatari ya ndoa za jinsi moja, semina iliyo andaliwa na Shirika la IRC chini ya Idara ya Maendeleo Mkoani Kigoma.
Comments
Post a Comment