SHEIKH NASIBU AHIMIZA UMOJA WA WAISLAMU

 

Sheikh wa mkoa wa Kigoma wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC Alhaji  Nasibu  Rajabu akitoa nasaha kuhusu umoja na mshikamano baina ya waislamu wote nchini, jana katika siku ya kumbukumbu ya Kifo cha Imamu Khomein, iliyofanyika katika ukumbi wa Makondeko, Ujijji Mkoani Kigoma.





Mjumbe wa Baraza la Ulamaa wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC Taifa Sheikh Omari Maulid akiongea na hadhira.

Comments