MTENDAJI MKUU WA BILAL AMZURU IMAM KHOMEIN (R.A)

 


Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania Ndg. Hafidh Mansour akipiga picha baada ya kuzuru Kaburi la Mwasisi wa Jamhuri ya kiislamu ya Iran IMAM KHOMEIN (R.A), hivi karibuni nchini Iran.





Comments