Kulia ni Sheikh Mkoa wa Kigoma wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania -TIC Alhaj Nasibu Rajabu, Sheikh Abdulwahid Abayat, Mwenyekiti wa Mkoa wa Kigoma wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC Ust. Ramadhani Ndiholeye na Katibu wa Mkoa wa Kigoma wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC Mwl. Rajabu Kabavako, wakishiriki katika picha ya pamoja baada ya kikao chenye madhumuni ya TABLIGH, katika ofisi ya Ahlulbayt Islamic Centre, Ujiji Mkoani Kigoma.
Comments
Post a Comment