FALAH ISLAMIC DEVELOPMENT inawaalika na kuwakaribisha watu wote katika Semina maalumu ya Kumbukumbu ya siku ya IMAM KHOMEIN (R.A) itakayofanyika tarehe 3/6/2023 kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 6 mchana katika ukumbi wa NOOR CENTER, JENGO LA HAIDERY PLAZA, GHOROFA NO. 8 linalopatikana POSTA MPYA mkabala na Sheli ya mafuta ya GBP. KARIBUNI SANA
Comments
Post a Comment