SHEIKH NASIBU ASHIRIKI KWENYE UTATUZI WA MGOGORO WA ARDHI, KASULU

Katibu wa Juumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania-JMAT Wilaya ya Kasulu na Sheikh wa Mkoa wa Kigoma wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC Sheikh Nasib Rajab (wapili kushoto) leo hii akiwa na viongozi wenzake wa JMAT hiyo katik  kikao cha usuluhisha mgogoro wa ardhi wa wanandugu na hatimaye kufikia maridhiano na makubaliano mazuri na kurudi pamoja kama wana ndugu, Kasulu Mkoani Kigoma.





Comments