SHEIKH MKUU WA WAITHNA'ASHARIYYAH ASHIRIKI KIKAO CHA NEMC KILICHOANDALIWA NA JMAT


Sheikh Mkuu wa Jumuia ya Shia Ithna'ahariyyah Tanzania-TIC Maulana Sheikh Hemedi Jalala (wakwanza kushoto) akiambatana na Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Jumuiya hiyo Sheikh Muhammad Abdi washiriki kikao  kilichoandaliwa na  Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania-JMAT na NEMC kilicholenga kukuza uelewa wa masuala ya mazingira ili kutekeleza maagizo ya Mhe. Waziri Mkuu yakupata suluhisho la kilele zitokanazo na nyumba za Ibada.Kikao hicho kilihudhuriwa na Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Eng. Samuel Gwamaka Mafwenga, 15 Mei, 2023 Dar es Salaam.





Comments