Sheikh Jalala ashiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya BAKWATA Taifa

Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC Maulana Sheikh Hemedi Jalala amehudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya BAKWATA Taifa kilichoitishwa na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakari Zuberi Bin Ally kwa lengo la uzinduzi wa kampeni ya Hijja kwa mwaka 2023 sawa na mwaka 1444 Hijiria., 6 Mei, 2023 BAKWATA Makao Makuu, Dar es Salaam.

Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC (aliyevaa Kilemba) akibadilishana mawazo na Viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wakwanza kulia ni Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zuberi/



Comments