Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein
Ali Mwinyi (kulia) akipokea Ripoti ya Mwaka 2022-2023 ya Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Dk.Othman Abbas Ali (katikati)
leo Ikulu Jijini Zanzibar katika hafla hiyo Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais,Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman
(kushoto).
Comments
Post a Comment