Madrasat Imam Ally Zainul Abidin (a.s) imefanya Majlis ya kumbukizi ya wilada ya Imam Ally Ibn Muuss Ridhaa (a.s).
Baadhi ya Wanafunzi na Walezi wa Madrasat Imam Ally Zainul Abidin (a.s) wamefanikiwa kushiriki katika Majilisi ya kumbukizi ya wilada ya Imam Ally Ibn Mussa Ridhaa (a.s), katika Viwanja vya Madrasa hiyo, Ujiji Mkoani Kigoma. Madrasa hiyo ikiongozwa na Katibu wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC Mkoa wa Kigoma, Mwl. Rajabu Kabavako.
Comments
Post a Comment