Baadhi ya Viongozi wa TIC mkoa wa Kigoma na Viongozi wa BAKWATA mkoa wa Kigoma wakishiriki katika picha ya pamoja baada ya kumalizika Kikao hicho chenye lengo la kufahamiana (UTAMBULISHO), katika ofisi ya BAKWATA Mkoa wa Kigoma, Kwa upande wa TIC Msafara uliongozwa na Sheikh wa TIC Mkoa wa Kigoma Sheikh Nasibu Rajabu (wanne kushoto), akiambana ana Mwenyekiti wa TIC Mkoa wa Sheikh Ramadhani Ndiholeye (watatu kushoto) na Katibu wa TIC Mkoa wa Kigoma Mwl. Rajabu Kabavako (wapili kulia), nk.Watatu kulia na watano kushoto ni baadhi Viongozi wa BAKWATA Mkoa wa Kigoma.
Comments
Post a Comment