KATIBU WA JMAT WILAYA YA KASULU NA SHK WA MKOA WA KIGOMA WA TIC MKUTANO WA JMAT


Katibu wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania-JMAT wa Wilaya ya Kasulu na Sheikh wa Mkoa wa Kigoma wa Jumuiya ya Shia Ithna'ashariyyah Tanzania-TIC Sheikh Nasibu Rajabu (katikati) leo 10 Mei, 2023 amehudhuria Mkutano Maalumu wa JMAT katika ukumbi wa Mikutano wa Karimjee, jijini Dar es Salaam.






Comments