Dua ya kumrehemu Sheikh Dhikir Kiondo Mmoja wa Waasisi wa TIC

 

Wanaharakati wa kike,Wanafunzi wa Hauza wa Hauza ya Imam Jafar Swadiq wakiwa pamoja katika kumrehemu mmoja wa muasisi wa T.I.C Ndg. Dhikir Kiondo, 19 Oktoba, 2014, Tandika Dar es Salaam.

Mwalimu wa Bilal Muslim Mission of Tanzania (kushoto) akiwa na mjunbe wa kata ya Tandika, Temeke wakimsomea kisomo cha Qur'an Sheikh Dhikir Kiondo kwa kumrehemu.

Huyu ndio Sheikh Dhikir Kiondo, mmoja wa Waasisi wa Taasisi ya Tanzania Ithnashary Community (T.I.C)

Sheikh wa Bilala (kushoto) Tandika Temeke, Dar es salaam, akiwa katka kisomo cha Muasisi wa Tanzania Ithnashery Community (T.I.C), Nyumbani kwa Marehemu Dhikir Kiondo.

Masheikh ,Wanafunzi na Majirani wa Marehemu Sheikh Dhikir Kiondo, wakimsomea kisomo cha Qur'an ya kumrehemu.

Comments